Nafasi za kazi za freelancers kwa wanaohitaji

Alvin John

Member
Mar 27, 2018
56
25
Habari wakubwa! Kikundi cha wanateknolojia kilichopo Dar es salaam kinatoa nafasi za kazi kwa freelancers popote pale hata nje ya nchi. Hakuna ajira isiyokuwa na changamoto ila ukifanya kazi kwa bidii utapata kipato kizuri na uzuri ni kwamba unaweza fanyia kazi hizi popote hata ukiwa nyumbani kwako.
 
Kaz gan sas?
Habari wakubwa! Kikundi cha wanateknolojia kilichopo Dar es salaam (D Tecs Group) kinatoa nafasi za kazi kwa freelancers popote pale hata nje ya nchi. Hakuna ajira isiyokuwa na changamoto ila ukifanya kazi kwa bidii utapata kipato kizuri na uzuri ni kwamba unaweza fanyia kazi hizi popote hata ukiwa nyumbani kwako.. Wasiliana nasi kupitia namba yetu hapo chini;

0688072587 Call, SMS, Whatsapp
Wote mnakaribishwa.
 
Kazi gani ?
Kwanini usiandike hapahapa
Nimetoa maelezo kwa ufupi tu ndugu, nimeona labda kwa atakaehitaji hiyo kazi akisoma hapo atahamasika na kuwasiliana nasi ili tumueleze ila kwa kifupi ni masuala ya IT na tunapatikana Sinza Mori Dar es salaam pembeni ya sheli ya GBP.
 
Sema kituo cha kujaza mafuta cha GBP sheli ndo nini sasa

Back
Top Bottom