Recent content by alttaiwany

  1. alttaiwany

    Msaada: Galaxy note 2, line ya tigo haisomi mtandao ila internet inafanya kazi

    Yoyote alokua na tatizo kama hili aweke no yake ya whatsapp niwasiliane nae
  2. alttaiwany

    Msaada: Galaxy note 2, line ya tigo haisomi mtandao ila internet inafanya kazi

    Ndio hilo tatizo lipo kwa watu wengine. Nishaiona Galaxy s3 inasoma voda na halotel ila tigo na zantel haisomi. Wasiliana nami kwa kutatoa tatizo lako
  3. alttaiwany

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Inahitaji 3g nzuri au 4g
  4. alttaiwany

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Daaaa nimesahau ni kweli kiarabu 90% lakini unaweza kutumia kwa kufuata icon tuu
  5. alttaiwany

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    E bwana kuna apps mpya imeingia wiki iliyopita inaitwa mobikim.com ni apps ya tv nomaaaaa. Huyu jamaa ni mmoroco yupo ufaransa
  6. alttaiwany

    msaada wa ku root smu yangu

    Kama hukuweza nicheki kwa whatsapp 0655680468
  7. alttaiwany

    msaada wa ku root smu yangu

    Samsung zote una flash kwa kutumia odin3
  8. alttaiwany

    AppMahal - discover great apps

    Ni kweli kwa hapa bongo
  9. alttaiwany

    msaada wa ku root smu yangu

    Ila lazima uwe unajua ku flash simu kama hujui inaweza kuzima simu na kutomalizia kuwaka mpaka iflashiwe
  10. alttaiwany

    msaada wa ku root smu yangu

    Unaweza tumia kingroot au iroot au kingoroot
  11. alttaiwany

    msaada wa ku root smu yangu

    Hio Galaxy j7 model no gani????
  12. alttaiwany

    AppMahal - discover great apps

    Wadau nani kajaribu hii apps ???
  13. alttaiwany

    AppMahal - discover great apps

    Ok. Watu gani hao
Back
Top Bottom