Recent content by alphoncetz

  1. alphoncetz

    gharama za kushost website

    ku host ni kuiweka website kwenye mtandao wa internet ili iweze kutembelewa na watu. Ili ku host website inahitaji uwe na mtoa huduma (web hosting provider) yeye ndiye anayekuwa na servers zinazo host websites
  2. alphoncetz

    gharama za kushost website

    Tuna design websites BURE na ku host kwa Tsh 9,000 kwa mwezi. Check our website here http://www.primax.co.tz
  3. alphoncetz

    Msaada:NAomba mwenye notes za kujisomea za IT video tutorial

    Take a look on my website, ninazo hizo video courses http://www.alphonce.net
  4. alphoncetz

    mzigo posta.

    Refer tracking site FAQ's au contact support, lakini kabla hujafanya hivyo hakikisha unaingiza tracking number correctly, use copy and paste instead of typing it
  5. alphoncetz

    mzigo posta.

    Email alikutumia huo mzigo akupe tracking URL, kwa kawaida anapopewa tracking number anapewa na tracking link
  6. alphoncetz

    Umeme wa betri la gari

    nunua solar panel ya kama 100watts na battery ya 70watts (dry cell battery) Ukifunga hiyo system inaweza fanya hizo kazi ingawa si kwa full time (about 3hours). Kama unafikiria kutengeneza full time power system inahitaji panel kubwa zaidi na battery zaidi ya moja (such expensive cost)
  7. alphoncetz

    Best learning resources in Web design and hosting

    Ni business ndio lakini pia kuna free full packs za ms word na html, kuna known issue kama una download kwenye mobile devices Download kwenye computer kwa kutumia download manager itakubali
  8. alphoncetz

    Best learning resources in Web design and hosting

    Visit http://www.alphonce.NET Hapo utapata web designing video training courses kama HTML, Joomla, Wordpress, PHP, Java and many more
  9. alphoncetz

    Maisha unayoishi ni ndoto.

    Kuna waliowahi kuota wako kwenye ndege wanenda ulaya na tayari ndege imeesha kutua, mara ghafla akkamshwa na jamaa yake, basi aliposhituka tu akkanzisha ugomvi akimlaumu yule alimwaamsha eti mi nilikuoa nishaaga maisha magumu ya bongo we unakuja kunishitua!
  10. alphoncetz

    Nauza CD za ngono za Maceleb wa bongo na ulaya na Viongozi mbalimbali(Enterpreneur)

    Acha sanaa, kama uko serious weka trial clips tuone uhalisia wa unayotueleza
  11. alphoncetz

    Land cruser for sale

    Si kama nakukatisha tamaa ila kwa bei ya soko ilivyo kuuza m20 hutaweza, cause gari ya aina hiyo hata ukiagiza japan gharama zote mpaka kuitoa bandarini bado haifiki hiyo 20 watajie wanunuzi bei muafaka pia weka picha nyingi mbalimbali mpaka za ndani
  12. alphoncetz

    Mwenye ujuzi na hili

    Ushuru kwa gari ya cc1990 na iliyokwishapita miaka kumi toka ilipotengenezwa (2002) ni sh mil6 mpaka kuitoa bandarini Kuhusu ubora wake, sijui kiundani lakini kama ni mitsubishi ni gari nzuri ila zingatia nunua gari ambayo mileage iko chini ya laki moja
  13. alphoncetz

    Ku band vsat satellite equipment

    Ungo (dish) ni ya 1.2m. as we spoke on the phone, I can sell it for $250
  14. alphoncetz

    Ku band vsat satellite equipment

    Kama jambo hulijui au halikuhusu acha wenye kujua waendelee. hata marekani zinakoanzia hizo fiber unazota tujue kuwa unazijua nako bado kuna VSAT ISP na kampuni mpya zinafunguliwa ila kukicha
  15. alphoncetz

    Ku band vsat satellite equipment

    Nina equipments mbili nilizokua nazitumia ku connect internet kupitia kampuni ya iway africa (Afsat communications) Kwa sasa nimesitisha huduma na hivyo nauza hizo equipments kwa mtu au taasisi wanaohitaji satellite internet connection Equipment hazina deni kwa ISP na kuhusu installation...
Back
Top Bottom