Recent content by Alphonce Kassim

  1. A

    Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

    ndg uko sawa kabisa nakusapoti kwa hilo hawa ndg zetu hawana mipango madhubuti ya kujisaidia ili wafike mbali matokeo yake wanaishia kuanguka na kupoteza ubora wa kisiasa
  2. A

    GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Kiukweli jamaa hajajipanga kisera na hata hoja zake hazina mashiko ni heri angegombea ubunge tu maana naona kama urais sio mda wake kwa sasa
  3. A

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Acheni kupotosha watu kwa sera mnazopost za upuuzi tu ivi mnanzania kuongoza nchi ni kazi rahisi au kazi ni kukaa na kukosoa vitu vya kijinga tu Magufuli kaweza na kasubutu kufanya yake kama huwezi kupost vitu vya msingi tafuta kazi ufanye sio kudanganya watu
Back
Top Bottom