Recent content by Alphani R Joseph

  1. Alphani R Joseph

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    hello can you sen me those books alphajozee27@gmail.com or whtasap 0746414742
  2. Alphani R Joseph

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?

    Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali? Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa? Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla wanatamni sana. Nchi zao japo kidogo zimantain tuu amani. Waweze kufanya mambo mengine. Ila hii...
  3. Alphani R Joseph

    JamiiForums Tanzania SoC04 The mindset of the leader, the vision of Mama Samia

    Nimetumia jina MAMA SAMIA, Sina maana kubwa ya kumtumia kwenye maudhui yangu lahasha , Lakini kama kiwakilishi kuonesha kiongozi wa juu kabisa katika ngazi ya uongozi, Sawasawa na ningetumia jina Joe Baiden Rais wa Marekani, Xi Jinping Rais wa China, Vladimir Putin Rais wa Urusi sawa sawa na...
Back
Top Bottom