Recent content by alphagotta

  1. A

    Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Mimi naona serikali ipo sahihi kushinikisha watu walipe deni heslb. Kwanza itasaidia vijana wengi wanaomaliza chuo kutumia zaidi ubunifu wanaopata kijiajiri ili wapate hela ya kulipa deni. Inasikitisha sana kuona tanzania ina wimbi la vijana wanaotaka kuajiriwa baada ya kumaliza masomo badala ya...
  2. A

    Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    Toa hoja za kisomi na busara. Unaposema mtu hana kigezo elezea ni jinsi gani hana kigezo. Na ni nani kasema wameondolewa bungeni kwa sababu ya vigezo hawana?
  3. A

    Lissu, Bulaya, Zitto, Pauline, Lema na Mdee wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Yamkini unawashwa, ikemee hiyo tabia. Alafu jifunze kufikiri kabla hujanena.
  4. A

    Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

    Hongereni sana wabunge wetu, nimependa sana msimamo wenu. Ni wazi kwamba wabunge wanachaguliwa kupitia vyama vya siasa lakini kudai haki haiangalii chama. Wanafunzi waliofukuzwa ni raia ambao ndugu zao ni chadema, ccm, cuf, act na kadhalika. Mungu awabariki muafaka wa wadogo wetu upatikane mapema.
  5. A

    Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Jamaa anaweza na nina imani nae.... Wewe kama huwezi wenzio wanaweza... Hata aliyegundua ndege aliposema anaweza watu walimdhihaki lakini alifanya kweli na baadae wakamwamini.... Siku nyiingine toa hoja ya maaana na sio upuuzi kama huu. Kwenye elimu bure mpaka chuo mlibwabwaja hawezi na mwisho...
  6. A

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Wadau, Naomba mnieleweshe kuhusu utaratibu wa kuvunja Baraza la Mawaziri baraza linabidi kuvunjwa siku ngapi kabla ya uchaguzi? Vilevile vipi kuhusu uchaguzi uliopita, Baraza lilivunjwa siku ngapi kabla ya uchaguzi? Na kama Baraza la mawaziri bado halijavunjwa, ninavyoelewa najua mawaziri...
  7. A

    CCM wanatumia watoto wadogo kwenye siasa

    Hii ni ishara mbaya kitendo cha wanasiasa kujitafutia umaarufu kupitia watoto wadogo. Kuna uwezekano mkubwa tukatengeneza taifa la kishabiki.
  8. A

    Mkutano wa Lowassa unaofanyia Nyehunge, Jimbo la Buchosa Sengerema

    Mbona naona watoto wengi mno kuliko watu wazima kulikoni? Watampigia kura hao.Hebu angalia kwenye picha kuanzia hapo waliposimama askari polisi ni vitoto vitupu. Huyo askari mwenye kamera yuko kazini.Ukawa msiwe mnawazuia askari wenye kamera kufanya kazi zao . Wacha dawa ipenye. Unatikisa nini?
  9. A

    Lowassa sikuamini na sitakuamini

    Acheni kufanya siasa za kukariri. Kama lowassa mwizi mbona nec ilimruhusu? Kalaumu nec na si lowassa. Au lowassa alihonga nec?
  10. A

    Polisi wazuia matembezi ya amani ya BAWACHA Dar es Salaam

    Matusi ya nn? Wangefanya ccm ungesema hivyo?
  11. A

    NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Kazi gani kama sio kuwauza watanzania wenzio?
  12. A

    NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Hata wakisema hivyo sishangai. Japo nahisi si sahihi. Wanajua watanzania wengi hawajui kuhoji. Swali la kujiuliza kama yote hayo yamefanyika. Kwa nini watu wanazidi kudidimia? Kwa nini hela ya tanzania ilishuka thamani kupita kiasi? Kwa nini suala la ajira kwa vijana linazidi kuwa kizungumkuti?
  13. A

    Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Mi sishangai kusikia tlp ni tawi la ccm.
Back
Top Bottom