Recent content by aloyc_the_superstar

  1. aloyc_the_superstar

    JamiiForums Naomba tulijadili hili nalo

    Nahic kuna watu wanajifanya wanajua sana kuongeza familia za njee bila mpango bt naomba niseme kitu kimoja "mula naye huliwa " ipo cku naye ataliwa tuu
  2. aloyc_the_superstar

    JamiiForums Siku tatu tofauti naota nafunga ndoa kanisani na marehemu mchumba wangu

    Pole sana ndugu yangu bt naomba nikushauri uwatafute viongoz wa dini unayoiamin na unaiman nayo ili wakusaidie na wakuombee pia ucache kuomba ww kama ww ili mungu akuoneshe kusudio la ndoto hiyo, ucku mwema pia.
Back
Top Bottom