Recent content by Aloe barbadensis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli itakuwa chini ya Kikwete na Mkapa! Magufuli atakuwa na wakati mgumu sana

    hapa kazi tu!!! tanzania kuna watu watacheza nae mpaka ataingia kingi tu! ndipo atakapogundua kuna wanaume wanamshughulikia. kam kamteua goerge kuwa AG baas ninaamin tayari kazi weshaanza.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Soko la HISA kwa makampuni tofauti

    Habarini za loe wana jamiiforum, Ninaomba mwenye uelewa wa biashara ya hisa na jinsi inovyo fanywa na faida inapatikana vipi anipe mwongozo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Dkt. Kigoda kufariki dunia

    MUNGU AMPE NGUVU NA UPONYAJI AREJEE KWA FAMILY YAKE AKIWA NA AFYA NJEMA. MUNGU BABA WA MBINGUNI NINAAMINI MAMBI YETU SISI WATANZANIA TUKIUNGANA NA FAMILIA YA Dr. UNAYASIKIA NA UTAYATENDA KAMA ULIVYO PANGA WEWE KWANI SISI WOTE NI WAKO. TUNAKUOMBA UMREJESHE AKIWA SALAMA. AMEN
Back
Top Bottom