Recent content by Allydasmartboy001

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop Nina 350000 Tsh

    Kwa hiyo bei ndugu yangu kwa kibongl bongo kupata labla iwe imepigwa sehemu au gen iwe ya 2-3 hapo kati na hatujui kazi yako ila kama ni kazi nzito itakusumbua sanaa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop Nina 350000 Tsh

    Tusimpe moyo ndugu yangu ndio apate pc ya graphic card kwa 350K hii Tanzania yetu?? Labla labla na sina uwakika atafute gen ya 2-3 labla anaweza pata
  3. A

    JamiiForums Tanzania Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

    Hayo sasa yako ww kama hamna ww chukua used hamna mtu anayekupangia na maamuzi yako na hakuna asijua pixel mpya kwa sasa ni 9 series kwa hiyo kama una hela chukua mpya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

    Pixel 6 pro used now ni 630,000 mpya full boxed ni 670,000 7 pro ya 128 ni 890,000 Zote zikiwa na warranty ya miezi 6 na kwa mpya warranty yake mwaka mzima
  5. A

    JamiiForums Tanzania Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

    Nunua google pixel kwa camera tuu Ila kaka unataka camera na performance nenda na samsung pamoja na iPhone Kuhusu bei Simu nzuri kwa pixel ni kuanzia 6a Bei zake ni 450K hadi 480K kwa pixel nzuri Ila hata hizi pixel 3, na 3a nazo ni nzuri bei yake zinaanzia 250K Kwa muongozo zaidi unaweza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Kwasasa tuna xs max tu ambazo kwa used kwa 64M ni 1M na 256 ni 1.1M huku new brand 1.2M kwa 1.3M
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Acha uongo acha uongo acha uongoo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Hapana kwasasa hatuna branch arushaa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa

    Kuna bei ya aina mbili mpya mm ya 64 GB ni 800K na 256 ni 850K huku used ambayo ipo clean kabisa ni 700k Kila ukitaka zenye kipengere zinaanzia 600K karibu nipo kariakoo msimbazi
  10. A

    JamiiForums Tanzania iPhone11 pro vs pixel4xl

    Ngoja kwanza unataka kitu gani au ww unapenda nn kwenye simu?? Kitu pekee google pixel 4xl alichomzidi iphone 11 pro ni camera basi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kununua Laptop nje ya nchi

    Tafuta watu mkuu ila hata m nauza laptop nzuri kwa bei ndogo tena nimezidi hadi za njee karibu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Habari kuna mtu anasema hii ni sawa na gen ya 9 ??? Core i5 kuna ukweli hapa Chief-Mkwawa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Laptop ya bajeti kati ya 850k hadi 1.5m

    Nimekupata mkuu
Back
Top Bottom