Recent content by Ally Tuntufye

  1. A

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Yes, kuna tatizo. Ni chain work, nadhani kuna mkakati wa kimkukuta kwa cream ya watawala. Lakini tatizo zaidi ni la watanzania wenyewe, yote yatokeayo ni njozi tu. Lilililo sahihi ni CCM daima milele, kama chama kimeoza tutatia pamba puani tusisikie harufu, na kuvaa miwani ya rangi tusione...
  2. A

    UFISADI: The Making Of IPTL

    Mr. Ngurudoto, good day. Habari ya huko amerika? Inaelekea wewe ni mmoja wa watoto wa hao vigogo, unayetanua ughaibuni kwa vijisenti vitokanavyo na wapinda mgongo wa nchi yako. Hongera, ungekuwa mzalendo wa kweli usingejisifia kuishi ukimbizini. Wewe ni mkimbizi kama wakimbizi wengine, kuna...
  3. A

    UFISADI: The Making Of IPTL

    They are calling themselves peoples' leaders. See!!! Babolile, Banyaliii banyali fijo!!!!
Back
Top Bottom