Recent content by Ally Msafi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mkopo

    Sahivi inafunguka fresh tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mkopo

    Mbona mimi nimeingia Olas pako vilevile? Au kunanjia tofauti ya kuangalia?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoifaham vizuri kozi ya Science in Information Technology

    asante sana mkuu kwa mawazo yako mazuri..!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoifaham vizuri kozi ya Science in Information Technology

    Habari wakuu Naulizia kuhusu changamoto zilizopo katika hiyo kozi tajwa hapo juu na upatikanaji wake wa ajira
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ifm undergraduate

    mi IT mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ifm undergraduate

    tupo sana sema tumepooza.. Vp ulitumiwa sms ya Rector..?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutumiwa sms na chuo kua umechaguliwa lakini Tcu bado waiting for approval

    shida yangu haswa ni kujua kama bodi ya mkopo inaangalia haswa tcu au chuo ulipopangiwa ndo inakuconsider kua umepata chuo maana tcu bado stil nimeandikiwa wait for approval
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutumiwa sms na chuo kua umechaguliwa lakini Tcu bado waiting for approval

    Wakuu ningependa kuuliza hii imekaaje yaan chuo kimenitumia sms ya Rector kua nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Ifm na nifate documents kuanzia 12 oct lakin katika account yangu ya Tcu bado kuna waiting for approval..! Hivi haitaleta utata hii kwenye heslb..? Nawasilisha
  9. A

    JamiiForums Tanzania Second batch ifm

    Science in Information Technology mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Second batch ifm

    Yeah nishatumiwa na mimi
  11. A

    JamiiForums Tanzania HESLB: Notice to loan applicants to complete their applications

    ndomana naomba kuangaliziwa mkuu japo mda umeenda ili nielewe kama jina langu lipo..! Naomba uniangalizie S3861.0043.2011 jina Ally Said kama simu yako inauwezo mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania HESLB: Notice to loan applicants to complete their applications

    itanisaidia ujipanga maisha ya kusoma bila mkopo..! Unadhani kutokupata taarifa muhimu kama hizi ni ukosefu wa useriousness? Omba yasikukute tu mambo kama haya..! Bila kujiunga jamiiforum ni mambo mengi tu yangenipita ila nashukuru humu baadhi ya watu wako consious na serious kusaidia watu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HESLB: Notice to loan applicants to complete their applications

    sio kuchanganyikiwa ila ni kutaka kujua tu maana nilihangaika kuangalia sikufanikiwa kuipata Link ya majina.. Na hapa nlivoiona sina simu yenye uwezo wa kuyafungua.. Ndomana naomba msaada wakuangaliziwa ili nijue kama jina langu halipo au kama lipo nijue najipanga vipi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HESBZT

    http://www.heslb.go.tz/images/images/INCOMPLETE_FORMS.pdf
Back
Top Bottom