Tanga maana yeke ni shamba,ni jina lililotokana na kabila moja pale jiji la wabondei,wakisema chaita tanga,wana maana ya twaenda shamba,
Pia tanga ni eneo linalopatikana karibu na bahari,hivyo ukisikia tanganyika maana yake ni eneo linalopatikana karibu na bahari na eneo lililoko mbali na...