Recent content by ally hajj

  1. A

    Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

    hii sio kweli maana wapo watu walishaenda china na wakazikuta tecno zipo madukani ila bei tu ni tofauti. tecno ni kampuni kubwa iliosajiliwa kimataifa vp utasema haijulikani nchini china? ndio maana waliweza kuingia mkataba na clabu ya man cyty ikiwa pamoja na kutengeneza simu zenye nembo ya...
  2. A

    Simu yangu inatumia muda mrefu kuchaji

    mwenzenu anataka ushauri wa kitaalam nyinyi mnampa ushauri wa kizombi!!! kama angetaka kununua nyengine asingewataka ushauri nyinyi angejinunulia tu. ila anachotaka kujua nn tatizo?
  3. A

    Titizo la kuisha chaji mapema

    kwa simu aina ya samsung ni kawaida tu kuwai kuisha chaji hasa pale betri linapoaza kupoteza uhalisia wake wa awali. cha kufanya ujaribu kubadilisha betri nyengine na kama bado inaleta shida basi itakua ni tecnical issue
Back
Top Bottom