Recent content by ally faraji

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya maji chumvi-Segerea itarekebishwa lini? Inatuharibia vyombo vya usafiri

    Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua kero kwa sisi watumiaji, tunaomba mamlaka itusaidie kuirekebisha kwasababu inatuharibia vyombo vyetu vya usafiri.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya maji chumvi-Segerea itarekebishwa lini? Inatuharibia vyombo vya usafiri

    Hii barabara ya maji chumvi hadi Tabata itaerekebishwa lini Inatuharibia vyombo vya usafiri. Hii barabara ya maji chumvi kupitia migombani hadi Tabata Segerea mamlaka hawaioni? Kiukweli imekua kero kwa sisi watumiaji, tunaomba mamlaka itusaidie kuirekebisha kwasababu inatuharibia vyombo vyetu...
Back
Top Bottom