Tafadhar jaman nlikuwa naomba kujua kuhusu hii course ya intermediate accounting ipoje na ugumu wake pia na nifanye strategies gan kuhakikisha nafaulu vzur hii course. Asanten
Sio ngumu kiasi hicho. Lkn cha msingi ni kuwa updated muda wote na kinachoendelea kufundishwa lkn pia mm binafsi nlikuwa nasolve saana maswali tofaut tofaut usiwe mzembe we fanya swali ukishindwa tafuta watu watakusaidia mwisho wa siku utaona ni rahisi kwako....!!! Ni hayo tu.
Ni vizur mkawahi mapema coz kuna kuwaga na folen saana hasahasa wakati wa kupiga picha so ni vyema mkawahi mapema pale kama watasema mpige picha basi zoezi hilo mlifanye mapema ili kuepuka usumbufu wa kutumia siku nying katka usajili!!!
Jaman kwa watu wanaosoma UDOM naomba kuuliza kuwa hivi kuna uwezekano wa kubadili pale coz nna mdogo wangu kapangiwa B.sc in physics kwahiyo yeye anadai haipendi kwa jinsi anavopata sifa zake na yeye ana div three ya 13 na anataka kuhamia either nursing or midwife. So kuna huo uwezekano?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.