Recent content by Ally balowa

  1. Ally balowa

    Asante Diwani wa Igawa Mbarali Mbeya kwa kumchana live Magufuli

    Hahahahaha yule wawakati ule walitudanganya ni fisadi nikampa huyu kura yangu masikini mimi huwa nawaza Sana mwanzoni nilihisi nizawadi kutoka kwamungu bahati nzuri nikawa nasubira yakumsifu saizi ningeweka wapi usowangu hivi sikuhizi hakuna nchi inatamani akaongoze kwa?
  2. Ally balowa

    Asante Diwani wa Igawa Mbarali Mbeya kwa kumchana live Magufuli

    Naona huku nakutumia madaraka vibaya ziara zake zisemewazi Kama angesema yupokichama naona wangeenda kwenye mkutano wake wangekuwa niwanachama wake lakini pale ilikuwa niserekali ndiomaana huyodiwani aliomba alioyaomba unakuta Mtu anasema maendeleo hayanachama uwe ccm, chadema, cuf,act,wote...
  3. Ally balowa

    Mbunge wa CCM aongea ukweli mchungu: Elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha, sio ufunguo, wengi mnaogopa kusema

    Naamini unacho kisema unaweza kusoma naukapata cheti Lakini kuelimika ikawasifuri alama yamtu alioelimika nimatamshi yake na vitendo
  4. Ally balowa

    Mbunge wa CCM aongea ukweli mchungu: Elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha, sio ufunguo, wengi mnaogopa kusema

    Unajifanya unajuwa kujibu Sana nakutusemea watz wote unaonekana wewe umeajiriwa hapo nahutaki ufumbuzi wengine naowaajiriwe hakuna mtoto wakigogo ambae jinalake kubwa ambae hajaajiriwa ilakwamlalahoi anatakiwa kujiari Kama umemsikia vizuri mbunge amesema iundwe tume ilete majibu wewe unakuja...
  5. Ally balowa

    Serikali ya Tanzania yasalimu amri kwa wafadhili

    Ifikemahali wajiulize wanatumikia chama au wananchi nawaona waowakobze nalichama wawewanapiga kampeni kwenyechama wanakotumikia watuache wananchi wanatupenda wakati wakuomba kura tu wakipata wanatumikia lichama hovyo kabisa
  6. Ally balowa

    CHADEMA sasa kumekucha

    Mbona bati nikijani au mmeungana na ccm ndio maana wabunge namadiwani wenu huwahawakawii kuunga mkono mwanzoni tuliaminishwa kuwa act nivibaraka wa ccm lakini ndio chama kinachotoa upinzani mkubwa
  7. Ally balowa

    Kwanini Chadema hawaipiganii Tume Huru ya Uchaguzi?

    Bora hatawewe umefikiri kama mimi unatoka nyumbani kwaajili yakupiga kura wakatimungine foleni yawapikuga kura inakuwa ndefu nanjaa juu badokurazetu haziheshimiwi juzijuzi tumesikia mahakama imemuondoa diwani alichaguliwa natume nakumuweka aliochaguliwa nawananchi sasa hatuoni kwamuda...
  8. Ally balowa

    Kwanini Chadema hawaipiganii Tume Huru ya Uchaguzi?

    Nashauri kama vyamapinzani haviwekimkazo tume huru mimi nafamilia Yangu hatupigi kura kuofia maamuzi yawaliowengi kutoheshimika
  9. Ally balowa

    Mkakati wa Tanzanite juu ya watu tishio kwenye Urais wa Magufuli

    Mimi nilisha lidharau sina uhakika Kama anaendika kama nirijali
  10. Ally balowa

    Diwani wa Kibosho Magharibi, Deo Mushi(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Ninavyo fikiri mm walahuu sioushindi kwa ccm balinikujidanganya kwani unachukua Mtu mmoja lakini wengi wamebaki tatizo vijana nawengine wanahitaji mabadiliko kwahiyo uchaguzi uliopita walichagua chama siomtu chukua acha chama midhali chama kipo watu watachagua chama
  11. Ally balowa

    Magufuli anaweza akawa ana nia nzuri na Tanzania, lakini watendaji wakuu na wateule wake wanamfanya kituko cha ajabu

    Lakini hili lililotokea ziwa Tanganyika lakuchoma nyavu nabaada yahapo watu kwenda dukani kununua nyavu zilezile saizi ileile nabado wavuvi wanapata taabu kwa engine yamashine zakuwasafirisha kwenda kuvua wameendelea kuzishikilia wanahitaji pesa iliwarudishiwe mashine zao yaani wakanunue mashine...
Back
Top Bottom