Habarini wadau, nauliza waliokwenda kuhakiki mikopo bodi ya elimu, ukitia retantion fee, je yapo makato mengine yaliyotoka kati ya penalt na administration fees?
Ndio ila sisi wengine mkataba wetu hauna riba na hiyo sheria dhulma ya bunge imekuja baada yetu nashangaa kuingizwa, nikama vile sheria ya wizi wa kuku inasema afungwe miazi miwili na bunge kubadili kuwa miaka kumi wale waliohukumiwa awali wote wanafungwa miaka kumi.
Wazo langu sisi tuliokopa...
Mimi nauliza kuna mtu anadaiwa 5430000, kisha akaekewa 10% ya deni hilo, kisha akawekewa na pesa za field kama 150000, kisha akawekewa kabisa retation fee kama 4070000. Na ameshalipa kama milioni sit. Sasa hiyo milioni 4 za RF zilipatikanaje, kisha je kwa kuondoshwa na rais ndo inatoka yote au vipi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.