Barabara kuu ya kata ya Manolo kutoka makao makuu ya kata, Manolo, kwenda Shume Nywelo ni mbovu miaka nenda rudi. Wakulima wa kata hii wana bidii sana ya kulima. Wanakatishwa tamaa ya maendeleo na barabara hii. Mazao yao ya nyanya na viazi mviringo na maharagwe yanauzwa kwa bei ndogo kwa sababu...
Kipande Cha Barabara kati Zaghati na Manolo kutoka Lukozi kwenda Mtae, wilaya ya Lushoto, ni sugu kwa ubovu. Wala si kwa sababu ya mvua za mwaka 2019/2020. Miaka nenda rudi ni hivohivo. Inazibwazibwa tu, hapa na pale. Mvua ikinyesha hali ya barabara inarudi vilevile. Barabara hii ni muhimu sana...
Kata ya Manolo wilaya ya Lushoto imebaguliwa kwa kutowekewa umeme wa REA. Mfano vitongoji vya Manka, Kweeka, Mkunki, Nywelo, Madala, Lokome, Hekanda viko gizani mpaka Sasa. Vijiji vyote hivi viko katika kata moja ya Manolo. Umeme umefika makao makuu ya kata Hiyo kwa kuwa ni njiani mwa Barabara...
DAWASCO, maji mengi sana yanapotea mitaani kwa kumwagika kutokana na mabomba yaliyo pasuka. Je, hamna kitengo Cha kuzungukia mitaa kubaini maji yanayo mwagika ovyo na kusabishia shirika hasara? Hizi Ni hela za wananchi. Wanaosoma mita hata wakiona wanapita tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.