Recent content by Allen Sam

  1. A

    Tusilalamike: Dawa ya Kukomesha Rushwa kwa Traffic Polisi wote Tunaijua na Tunayo

    Naomba kuuliza-hawa jamaa wanapohitaji kukagua leseni hata km haupo nayo hapo kwa hapo sheria inasema unatakiwa uwe umeiwasilisha hiyo leseni ndani ya masaa 72. Swali langu ni nn kinakuwa dhamana kati ya mkaguzi na mkaguliwa ili kuhakikisha kweli utapeleka leseni? Unaacha gari? Au ni jukumu lao...
  2. A

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    I believe jamii inaelimika sana sherehe kubwa za harusi zitakw sio big deal tena. Kwa wale waliofanikiwa kutochangia harus hongereni. Na wale ambao bado tunachangia tunatoa lkn 95% kwa kunung'unika sana na kuumia coz ni ndugu, jamaa au rafiki huna jinsi. Kwa hii trend tutafika mahali huu...
  3. A

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    ni upuuzi na ujinga mtupu. Tunapoteza Resources, muda, nguvu nyingi na tunachosha akili sana kwa ajili ya sherehe na gharama kubwa za harusi. tufike mahali kila mtu aamue kuoa kwa gharama ambazo ana uwezo nazo. Lakini nadhani tunaenda vizuri kdg naona jamii inaanza kuelimika juu ya hili na...
  4. A

    Fenella Mukangala: Napenda anavyokuwa 'natural'

    namzimika sana huyu waziri yupo natural & simple afu anapenda kuwa natural. Tusilazimishe wote wawe hivyo wengine wana Vichwa na nyuso za Mviringo lazima wajitie mawigi jamani
  5. A

    magari magari yanauzwa

    Kwa hiyo ina pua?
  6. A

    magari magari yanauzwa

    Inakula nn mkuu km haili wese? Au inakula kachumbari?
  7. A

    Hivi biashara ya ving'amuzi inasimamiwa na nani? Angalia hii style ya 'easy tv'

    Waliowekeza kwenye biashara ya ving'amuzi wana power kuliko TCRA (yenye mamlaka ya kusimamia) ndio maana wanajiamulia wanavyotaka. Utaratibu ulkw ving'amuzi vyote viwe na local channels lkn kila mwenye king'amuz anajiamulia anavyotaka
  8. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Airtel Yatosha ndio mpango mzima......fanya maamuzi sahihi.......u will never regret
Back
Top Bottom