Blaza kwa ulivyoandika una stress sanaaaa. Anipelekeshe tu fresh kabisa si watoto watanufaika.
Una roho mbaya kishenzy blaza eti hanipendi. Mimi ni sio wa ku bet bar na ku discuss mipira sio wa kuchukua tu ushauri bila kutathmini.
Maneno hayajawahi kuniumiza ila furaha yangu ni priority na...
Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.
Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa...
WAIFU AMERUDI NYUMBANI RASMI JANA IJUMAA. Niliusikiliza na kuufuatilia ushauri wako ulinigusa sana. Nilijifunza kumrudia Mungu huku naendelea kumtafuta mara kwa mara kwa meseji,vocha,watoto wangu niliwapelekea zawadi. Nikiri sitarudia tena kumkosea heshima na kuharibu nyumba yangu. Nimeamka...
Una maneno makali sana kiufupi nimekosea kweli si mara moja yani mara nyingi kila aina ya jambo baya unalojua. Kiukweli kanivumilia yani atachukua mkopo anisaidie huku na kule japo yeye ana mshahara mdogo mpk tumetulia sasa hivi.
Niliamua kuuchuna kutomtafuta na yeye kimyakimya nimepeleka maua...
Kakaza kishenzi na hana mpango kuna mtu juu hapo kasema akitokea boya mmoja akam sound isha ndio itakuwa kimoja. Na wanawake wakipenda si ndionimetoka tena ndugu nahaha tena kama watoto waliobalehe
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.