ni uamuz wa manispaa ya morogoro ktk kile wanachodai kuweka mji safi,mwananchi anaekutwa anakojoa mjin morogoro analazima kulipa Tsh 50 elfu kama faini,sasa cha kusikitsha stendi ya vihiace na soko kuu la mji kunanuka maj machafu ya mitaro na ushuru unakusanywa kila cku,kuna maelezo mengine...
yah nlickia pia tetesi hzo,ila habari zisizo rasmi kutoka kwa wanafunzi waliojeshini ni kwamba hakutakua na awamu ya 3 na mwaka huu na pia vyuo vng vnafunguliwa mwez wa kumi mwanzon na wa tisa mwishon,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.