Ajira kwa vijana ni suala nyeti na muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, zaidi ya nusu ya idadi ya watu nchini Tanzania ni vijana wenye umri wa chini ya miaka 35.
Hii inaonesha kuwa nguvu kazi kubwa ya taifa ni vijana, ambao wanategemewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.