Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR
Niende wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.