Recent content by alkado_hs

  1. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuwa programmer

    shukran kiongoz
  2. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuwa programmer

    Kesho nitamalizia
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi: Full stack programmer

    Duu kazi ipo, kwani nini maana ya programmer? Ukijibu hilo swali halafu angalia na ulichokiandika hapo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuwa programmer

    Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k. Hivi vitu vyote...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Afu mbona naona watu wengi mnachanganya maada humu. chatGPT haijatengenezwa na Microsoft, imetengenezwa na moja kati ya mfanyakazi wa Microsoft ambae ana kampuni yake tofauti na Microsoft chatGPT gpt siyo product ya Microsoft ni product ya kampuni ya OpenAi
Back
Top Bottom