Recent content by Aliyetelekezwa

  1. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Kuhusu jina karibu nyumbani. Tule mtori wa uzazi kisha jina utalijua ukifika huku kwetu rafiki. Usiwaze sana njoo pm nikuelekeze uje umuone anko wetu mpya wa JF aliyezaliwa.
  2. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Rafiki hii mada ilishamalizwa. Kazi nilishapata maana lengo hasa ilikuwa ni kupata kazi. nilishajifungua tayari na nikimaliza uzazi naendelea na kazi. Alishapatikana mtu mwema huku akani connect na kazi. Kwa hiyo haya maneno ya karaha jitahidi uyahifadhi moyoni mwako. Matatizo yameumbwa kwa...
  3. A

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Kama wewe ni Mkristo Tafuta sana maarifa ya Neno la Mungu usije ukaangamia bila hiyo. Otherwise utubu kwa hayo maandiko unayopotosha nayo watu ili wakuamini. Tangu mwanzo wa maandiko yako hadi mwisho hakuna hata quote moja inayotoka kwa vitabu vya Munngu ikimaanisha ni mawazo yako ya...
  4. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Kabisa. Na ninachoamini ni kwamba ukiona mwanamke yeyote amebeba ujauzito na kupitia shida na kukataliwa ujue kwamba kinachopigwa vita ni kiumbe kilichoko tumboni kinakua kimebeba hatma kubwa ya maisha ndio maana anakataliwa asizaliwe. Kwa hiyo siwezi kumlaumu mtu hapa sio wao ni shetani anataka...
  5. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Asante sana kwa ushauri. Nimeshapata kazi ya kujishikiza kwa wakati huu rafiki yangu yani nina furaha sana kiukweli. Huku jf kuna wakatisha tamaa na watu wazuri pia wapo. Kikubwa nitapambana hadi tone langu la mwisho la damu ili huyu kiumbe aje duniani. Mungu ni mwema
  6. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Asante wangu . Nimeshapata kazi. Shukran kwa ushauri. God bless
  7. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Shukran asante sana wangu.
  8. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Naendelea salama wangu. Mwenyezi Mungu ni mwema. Naomba uje/nije PM tuchati maana mambo mengine ni private siwezi kuyaweka hapa. Ila kama nilivyoeleza katika thread nina ujauzito wa miezi saba kwa sasa
  9. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Asante wangu. Mungu akubariki na kazi niliyokuwa naitafuta kuna mtu huku amejitokeza kunikonekti mahali na nimeshapata kazi asanteni sana kwa kujali wapendwa japo hiki kisa ni cha kweli. Me namwogopa Mungu siwezi kuja hapa kwenye hadhara nitunge uongo au nimsingizie mtu uongo maana hakuna faida...
  10. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Asante sana Teacher. Nimepata kazi tayari wangu. MUNGU AKUBARIKI. Hii fursa naachia wengine waipate. Jamani Tabora kazi hiyo wapendwa tuchangamkie fursa
  11. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Asante kwa maoni yako rafiki yangu Nimeshapata kazi tayari. May God bless you
Back
Top Bottom