Napendekeza kuwa katika katiba hiyo mpya tunayodai, iwepo Mahakama ya katiba ambayo itaamua pamoja na mambo mengine, kuhusu uhalali wa ushindi wa Raisi. Pia ndiyo itaamua kuhusu mambo makuu yanayohusu katiba, ikiwa ni pamoja na kufanywa mabadiliko ya msingi
Ni muhimu tuendelee kupeana taarifa kuhusu hali ya huyu mpiganaji wetu. Pia tunahitaji kuhimiza na kufuatilia uchunguzi wa ajali yenyewe. Kwa mfano kuna taarifa (e.g. Mwananchi newspaper ya 22/5/2009) kuwa wakati gari ya Mwakyembe inaingia shimoni na kuanza kupinduka, kuna lori liliigonga kwa...
The Mbagala bombs have scared me a lot!! I have not much to say today except that in addition to being scared, I am sorry for not saying a word this long.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.