Recent content by aliisaac

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASCO chemba za barabara Mtaa wa Msikitini, Mikocheni zimeziba na maji taka yanatiririka barabarani mwezi wa pili sasa na hakuna hatua yoyote

    Wananchi na Serikali tumeitikia wito wa kuweka mazingira safi, ikiwemo kusafisha mifereji na mitaro. Kitu cha kushangaza, hawa wenzetu wa DAWASCO, kitengo cha maji taka, hawako kwenye picha kabisa. Ukienda maeneo ya Mikocheni, mfano Mtaa wa Msikitini, chemba za barabarani zimeziba na maji taka...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    wahaini wote duniani kote, hukumu yao ni kifo! huwezi sanitizer nchi ukabaki salama, mnaweza pingana kisiasa ndani kwa ndani hiyo haina shida, ila uki collaborated na wageni kuhatarisha usalama wa nchi, unakula shaba,
Back
Top Bottom