Recent content by Ali4real

  1. Ali4real

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Huu mfumo wa polisi portal unasumbua vipi wadau nyinyi huko,,?
  2. Ali4real

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Nauliza hivi Heslb walisema majibu ya Ku appeal yatatoka before dec 2,naleo ni tar 2 bado kimya duh hatari tupu,,
  3. Ali4real

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Mpaka saivi majibu ya appeal siyaoni cjui tatizo nini,, au ndio mchakato umeishia hapo..
  4. Ali4real

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Vipi wadau,,kwa wale walio appeal vipi majibu huko maana naona mchakato unakua mgumu tuh,,?
  5. Ali4real

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinacho husu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali msaada plz,
  6. Ali4real

    Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Back
Top Bottom