Asante sana kwa kusoma maandishi yangu, nimesoma sura hiyo na ningelifurahi ikiwa utanionesha wapi hapo imeandikwa kuwa mvutano wa Ardhi au chochote kile kitapotea au kitaondolewa, wakati kile kitu hakijapotea
Mass kwa jinsi ninavyo fahamu ni uzito wa kitu isio badilika kwa mvutano wa gravity, kwa mfano ikiwa mimi uzito wangu hapa Duniani ni kilo gramu 60, basi kwenye Mwezi uzito wangu utakuwa kilo gramu 10 tu, na nikiwa mfano kwenye sayari ya Jupita uzito wangu utakuwa kilo gramu 140. Wakati mass...
Wakuu mdukuzi na MWAMFUPE
Mzunguko wa Ardhi hauathiri kabisa ndege ikiwa inapaa angani au imetua Ardhini, sababu kubwa na muhimu ni mvutano wa Ardhi (Earth Gravity) hufanya kuwa kila kitu kinazunguka pamoja na mzunguko wa Ardhi hata anga nayo inazunguka kwa speedi ya Ardhi.
Mkuu Anheuser,
Kiswahili ni sio lugha yangu, na mimi ninajitahidi sana kuchagua maneno ya kufahamika. Kwa hiyo ningefurahi ungeliweza kunisahihisha katika neno hilo, kwani niliuliza wengine hapa maana ya mass nao wakaniambia kuwa ni uzito, na kwa kuwa sikuweza kufanikiwa na neno sahihi sikuwa...
Mheshimiwa Dreadnaught,
Nafurahi sana kuwepo na wakuu wakubwa wenye kufikiria kwa kutumia logic za akili kabisa, na kama tulivyo binadamu tunaweza kukosea na pia kufanikiwa. Ili muradi ni kubadilishana mawazo na busara ili kuelimishana.
Kuhusu swala lako la kuzaliana kwa viumbe kama binadamu...
Ningependa kuanza jibu langu kwa kuhakikisha kuwa wewe unatambua kwamba kupoteza mvutano wa Ardhi (Earth Gravity) haitatokea kamwe. Ardhi ina uzito (mass), pia kila kitu kingine imara chenye uzito (ikiwa ni pamoja na wewe). Ni uzito wa Ardhi yenye kusababisha kuwa na mvutano, na hivyo ili Ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.