Recent content by alfarone

  1. alfarone

    JamiiForums Tanzania GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    kuchakachua si kosa kama unamuheshimu unayemchakachua. inapaswa umchakachuaye hasiwe na mashaka na hivyi ndivyo ambavyo watu makini wanafanya lakini kwa umbumbumbu wao wanachakachua tu utafikiri hawakwenda shule na wakiwa na lengo la kupata tu asilima 71-80. Watu kibao makini...
  2. alfarone

    JamiiForums Tanzania Maoni yatolewayo na wanasiasa wajulikanao hapa JF yalindwe vipi?

    Mwanasiasa anayo haki ya kutoa maoni yake juu ya jambo lolote na kutokana na utashi wake na kwa kufuata sheria zilizopo. Hapa tatizo naweza sema lipo huku kwenye taaluma yenyewe ya uandishi wa habari, hasa kwa sababu kiwango cha waandishi wetu wanaopenda kucopy na kupaste habari...
Back
Top Bottom