Recent content by alfajiri

  1. A

    Kwa hili la kuagiza Umeme Ethiopia, wananchi tunahitaji maelezo ya ziada, tulijenga mitambo ya bwawa la Mwalimu kwa nini?

    Hakuna tatizo la umeme wala uhaba. Usafirishaji wa umeme una changamoto ambazo ni kama unatoka Ethiopia ukiwa 200MW mpaka unafika Tanzania unakuta umepungua na kufika 110MW so 90MW zimeshapotea njiani. Hivyo Tanzania haihusiki na upotevu huo na hasara hiyo.Tanzania Italipa Megga Watts...
  2. A

    Uzi wa vyakula tu

    Hapo je
Back
Top Bottom