Recent content by alfa A

  1. A

    JamiiForums Tanzania Soko la vitunguu maji

    Habar ndugu zangu..poleni na pilika..Niko hapa na ishu ya vitunguu maji ivo basi Kama kuna mdau ambae anaeweza kua na mtandao mzur wa wanunuz wa vitunguu naomba tuwasiliane ikiwezekana tufanye kazi..Nina Zaid ya guni 500 za vitunguu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom