Recent content by Alexstnly

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

    Na watu badala ya ku discuss kwanini amejiuzulu wanaanza ku list down next expected vice president. Hii inchi inaliwa bila aibu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi

    Kabisa aisee. Kwanini hawataki tume iliyo huru? Kwann hawataki katiba? Watu wamechoka sana na wanaona mzaha tu wakati uchaguzi mwengine unakuja, sidhani kama kutafanyika uchaguzi bila mambo kurekebishwa.
Back
Top Bottom