uzi huu nautoa makusudi ili niweze kupata utaalamu au uzoefu walionao wataalamu wa bitcoin , nimejaribu kumine bitcoin toka october na nikafikisha kiwango ambacho nakihitaji ila imeshindikana kutoa hizo bitcoin kwasababu wanahitaji 0.0011478 BTC kutoka kwenye wallet yangu na mimi sina hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.