Recent content by Alexanda jozee

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada brothers and sisters

    Sawa mkuu asante kwa fact yako
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada brothers and sisters

    Hapo kaka nimeshakuelewa kabisa ..asante maana kwa ninavyoelewa lazima adminsion letter ije na fuculty walionipa..si ndiyo kaka!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada brothers and sisters

    Nimeshamshukuru mungu kaka nilichotaka kujua ni kwamba je hakuna tatizo lolote ikiwa hivyo..
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada brothers and sisters

    Naombeni msaada kidogo wakuu...nimepangiwa IFM third round ambapo niliomba fuculty tatu TAXATION,INSUARANCE AND ACCOUNT..na majibu yamekuja kwamba you are sellected bachelor degree 2019/2020..TATIZO ni kwamba hawajaonyesha wamenipangia fuculty ipi na nimeshaconfirm..msaada wakuu kwa anaejua!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaana kuhusu chuo wakuu

    Niwaigie su siyo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Bachelor of architecture- udsm au Environmental engineering ARU

    Kaka vipi msaada tafadhali..nilichaguliwa saut mass communication lakini sijaipenda..nikireject inakataa sasa naomba ushauri ..naweza kuhama kwenda IFM coarse nyingine?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

    Anhaa asante kaka kwa ushauri wako
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

    Nilichaguliwa mass communication saut ila nikona ni vizuri kuchukua taxation chuo kingine broh...msaada mkuu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bachelor of architecture- udsm au Environmental engineering ARU

    Naomba niingilie mada tafadhali...nahisi utakuwa unaelewa zaidi yangu kuhusu kuhama chuo...msaada wako tafadhali kaka..mimi nimepangiwa saut round ya kwanza mass communication lakini nikireject inakataa eti wameshaniweka kwenye system sasa msaada wa mawazo kaka je unaweza kuhamia chuo kingine...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

    Kaka msaada wako..unaweza kuamia na coarse nyingine au lazima iwe hiyohiyo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

    Hatakama coarse ni tofauti au? Msaada wako kaka
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaana kuhusu chuo wakuu

    0678039448
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaana kuhusu chuo wakuu

    Saut au?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaana kuhusu chuo wakuu

    Wakuu msaada tafadhali..mimi nilichaguliwa saut mwanza mass comunication lakini hiyo ndo ilikuwa choice yangu ya mwisho..cha ajabu nimekuta tayari wamenisellect na kuconfirm..lakini nikitaka kureject haitaki na nikipiga simu saut hawataki kuniachia..hivyo nikaona niwaulize wanaJF msaada wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Bachelor of architecture- udsm au Environmental engineering ARU

    Tusubirie waliotutangulia mkuu
Back
Top Bottom