Recent content by Alex Makumbi

  1. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Garama za kujenga nyumba Bila finishing yaweza kuwa Bei gan!?

    Kama nataka kujenga nyumba ya vyumba3 sebre, dining na jiko inaweza kunigarimu Bei gan had kufikia kupiga Bati Iwe ni maeneo ya mjini
  2. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua wanapouza vifungashio bei ya kiwandani

    Wapo wanao uza kwa Bei ya Jumla Bei rahisi tu ila wao wanatoa Kenya,ila Kopo ninazo zitaka mm wao hawana
  3. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua wanapouza vifungashio bei ya kiwandani

    Asante[emoji120][emoji120]
  4. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua wanapouza vifungashio bei ya kiwandani

    Ooooh Asante sana kiongoz[emoji120]
  5. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Anae fahamu Duka linalo uza Chemicals za Ujasiriamali

    Kama unafaham Duka linalo uza chemicals za Ujasiriamali kama za kutengenezea Sabuni na vingine vingine msaada 0622932217[emoji120][emoji120]
  6. Alex Makumbi

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anaejua wanapouza vifungashio bei ya kiwandani

    Habari zenu wakuu Naombeni msaada kama Kuna mtu anafahamu Wanapouza Vifungashio Kwa Bei ya Kiwandani kama vile chupa nzuri za kuwekea bidhaa au Kopo kama za kuwekea mafuta ya kupakaa mwilini iwe TANZANIA au KENYA
Back
Top Bottom