BARUA YA WAZI KWA MAWAKALA NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KOTE NCHINI.
Kwanza nawapongezeni sana kwa Kuchaguliwa/kuteuliwa kushika nafasi hii muhimu sana ya maamuzi ya Wananchi juu ya Mustakabali wa Maisha yao na Taifa lao kwa ujumla.
Napenda mtambue ya kuwa mmepewa dhamana kubwa sana na Taifa...
Ni muda wa kuchagua raisi atakaetuvusha kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Je push up inaweza kuwa sababu ya mtu kufaa kuliongoza taifa hili kwa kipindi hiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.