Recent content by albertkananda

  1. albertkananda

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ungeweka ya scales zote ingekuwa pouwa zaidi
  2. albertkananda

    Namna Muswada wa vyama vya siasa utakavyoathiri watanzania wote kama ukipita kuwa sheria

    Mswada huu unaenda kutengeneza taasisi za serikali zenye majina ya "vyama vya siasa", haiwezekani serikali ilazmshe vyama vya siasa kuwa na vifungu fulani ktk sera zao(mf. mbio za mwenge) inataka vyama vyte viiweke kwenye sera zao,unapnga uanaharakat kwny vyama vya siasa(Hmna uhuru wa chama cha...
  3. albertkananda

    Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Kwa serikali inayojiita ya wanyonge inashindwa kugharamia(kuwakopesha) elimu ya watoto wake wnyw ni kitu cha aibu sana sema yote yaltokana na "Cost sharing policy" walioipinga wakati huo wakaishia kufukuzwa chuo
  4. albertkananda

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Kiasi cha deni lililokuwa 2015 na 2016 limepungua kwa kiasi kikubwa na kwa maelezo yake mshahara na posho pekee visingeweza kupunguza deni hilo kwa kiasi hicho kuna mambo katuficha? bt big up kwake kwa kuonyesha uwazi
Back
Top Bottom