Recent content by albert_daud

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa single mother kwa malezi aliyokua akimpa mwanae

    Mkuu umefanya vyema kusepa angekusumbua huyo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Mkuu tafuta nokia minima ya 6g utaiona sio mda itakua sokoni, simu za 8k zipo mfano Asus zenfon8 Teknolojia inakimbia Mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Kabisa Mkuu Kuna emergency wiki au wiki mbili haupo nyumbani halafu ukifika mda kifurishi kinakata
  4. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    asante Mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Ni sera tu Mkuu mwaka mmoja au miezi kadhaa ni mingi sana kwa teknolojia kikubwa sera tu Mfano sisi bado tv ya 4k tunavimba wakati kuna simu ina 8k au tayari kuna simu za 6g zinatoka. Sera tu Mkuu linawezekana
  6. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Umesema vyema Mkuu Sera ya nchi ndo itayomnyonya mtumia au ndo itayomtetea mtumiaji
  7. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Mkuu mawazo yako kinzani na yangu nayaheshimu sana hatuwezi wote kuwaza jambo moja au kuona kwa jicho moja jambo fulani Wala haionyeshi ujinga wa mtu kuhoji tofauti na mitazamo ya wengine
  8. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Mkuu Mimi nimefikiria hili kama ambavyo na wewe baadhi ya mambo unafikiria ndio asili yetu wanadamu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Sio umaskini Mkuu mwanadamu kapewa akili kufikiri iwe kutatua changamoto au kuboresha zaidi mazingira yanayomzunguka
  10. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Linawezekana Mkuu teknolojia inakua sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Sio mgumu sana kama mifumo inatambua kifurushi mda umeisha kinakata au malipo haya ni kwa chaneli zipi bas na hili litawezekana tu Mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Shukran Mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Kabisa Mkuu wanaonufaika hawawezi kuwa upande wa kumtetea mteja
  14. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Asante sana mkuu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Utaratibu huu unamnyonya mteja... Kama tunaambiwa thamani fulani ya kifurushi ni kwa mwezi basi uhalisia uwe kwa matumizi halisi ya mteja
Back
Top Bottom