Thermal insulation nikuzuia joto lisipotee ukutani sasa kwa mchana jua huwa lina piga ukutani maaana yake joto litazuiliwa lisiingie ndani na kipindi joto likiwa ndani kipindi chenye ubaridi na litazuiliwa lisipotee nje esasa sijui umenipata
Thermal insulation inafanyakazi kwenye joto na baridi msikalili wa tz hata texas kuna 40 degrees ya joto lakini huwa nyumba zinatiwa Thermal insulation
Wakuu habari zenu naomba muongozo nataka nifanye ujenzi ambao nitatia thermal insulation ili kupunguza joto la dar je vifaa hivi nitapata wapi na fundi wenye uzoefu na cavity wall
Wakuu nataka ni jaribu jenga nyumba nitakayo TIA thermal insulation maana dar joto kali je vifaa hivyo nitapata wapi na mafundi wenye uzoefu na hii aina ya ujenzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.