Recent content by Albahi

  1. Albahi

    JamiiForums Tanzania Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

    Hapa inabidi sisi vijana wa 2000 tusome comment tu.
  2. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tai hapigani na nyoka ardhini

    Ujumbe murua kabisa, Ubarikiwe sana brother Mshana.
  3. Albahi

    JamiiForums Tanzania Mwafrika ameshindikana, angalia picha hii

    Hao ni wale waliokula mahari nyingi ko ndo anailipa kwa style kama hiyo.
  4. Albahi

    JamiiForums Tanzania Ishajipa

    Dah kweli hali ni mbaya kwangu tu, ila si mbaya one-day yes miguu milaini kama hiyo nitaishika ila kwa sasa wacha nipamban na haya ya Mariam yenye magaga.
  5. Albahi

    JamiiForums Tanzania Haya majaketi Ruto na Raila wanavaa mara kwa mara ni bullet proof

    Labda wanaogopa yasijewakuta kama yale ya waziri mkuu wa zamani wa Japan aliyepigwa risasi juzi-juzi tu hapa akiwa kwenye kampeni.
  6. Albahi

    JamiiForums Tanzania Huduma ambazo siwezi kumfanyia mwanamke yeyote yule hapa duniani

    Kazi kweli kweli mbona umechagua kuishi maisha magumu hivo J
  7. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Baada ya kusoma coment za wadau na kujidhihirisha ngoja nami niweke mikakati na mpango kazi niingie kundini tuombeane sana maan hili nalo lahitaji roho ngumu.
  8. Albahi

    JamiiForums Tanzania Kivutio cha utalii

    Jiwe juu ya jiwe nahisi hicho ndo kinachowavutia hao watalii.
  9. Albahi

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Majibu yanayotolewa sasa ni noma, ngoja niendelee kusubiri majibu mengine.
  10. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Mh wewe, ah uko vizuri kuna opportunity ndogo sana kwa x kuja kupasha kiporo.
  11. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Duh jamani tena... Kwani kuachana ndo mwisho wa mawasiliano kati yetu!
  12. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Vunga hata kukosea no tu jaman si tunaachana tu kikubwa.
  13. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Ukinimis usisite kunipigia hata cm et dear x.
  14. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Nilikua nasubiri tu utamke ila me nilishakuacha zamani.
  15. Albahi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

    Ebu tujaribu huo mchezo uniache nami nikuache tuone inatokea nini.
Back
Top Bottom