Recent content by Alana Rolmodo

  1. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu

    Habari! Wana Jf Naomba support yenu Kunipigia kura katika mashindano ya miss charm Africa 2026 niweze kuwakilisha nchi katika ubunifu Namna ya kupiga kura, bonyeza hii link hapa chini, itakupeleka Instagram Kisha una follow page, kulike kucomment na kushare 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 MEET TANZANIA 🇹🇿...
  2. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Sawa
  3. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Ndyo hiyo siyo script, ni story ila script poa naandika
  4. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Sina za kingono
  5. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Director wake
  6. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    😍😅
  7. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    "Sample ya wimbo" Verse1. Moyo wangu kama kambi, La kutunza wakimbizi, Wanatimua mavumbi, Hakuna hata mlowezi, Hakuna hata wa kukaa, Kila mtu ni balaa, Haraka ninawasha taa, Nimpate wa kunifaa. Corus( hello hello! True lover, jitokeze kucover×2) By Alana Mwanafasihi
  8. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Duh
  9. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Haki ipi hiyo?😅
  10. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Mimi naweza kuandika, kuimba siwezi
  11. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Oh jaman, 🥰😍😍nawapenda pia mno🥰🥰
  12. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Mbona wacheka jaman🥲
  13. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Ameen🥰
  14. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Wewe ni director, muigizaji au muimbaji? Hili linakuhusu

    Karibu nikuandikie script nzuri kwaajili ya FILAMU na nyimbo nzuri zinazoweza kuwa hit song. Karibuni sana😘😘😘😘😘😘😘😘 By Alana Mwanafasihi ✨Sanaa ni kazi kama kazi zingine (0759161254) Sample ya script 1.CHUMBANI KWA CHIFU (Open scene) Mke wa Chifu (Mwamini)anaingia chumbani na kumkuta Msichana...
  15. Alana Rolmodo

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji mfanyakazi kwenye ofisi?

    😅😅😅Ni mwanamke
Back
Top Bottom