Recent content by Alam

  1. A

    Serikali yasambaza fomu za uidhinisha gesi itoke Mtwara kwa wanafunzi

    Katika hali inayoonesha kuwa serikali imedhamiria kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar kwa namana yoyote ile, Waziri mwenye dhamana ya Nishati na Madini asambaza fomu kwa taasisi za elimu ili kuonesha kuwa wananchi wa mikoa ya Kusini wameridhia kuondoka kwa gesi. Hadi sasa fomu hizo...
  2. A

    Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    Nilidhani ungekuwa na nguvu za hoja kuhusu hoja hasa za watu wa mikoa ya kusini, hususan watu wa Mkoa wa Mtwara. Ulichofanya ni kujizungusha tu kwa maneno pasipo kueleza hoja ya msingi. Basi kama haupo kwenye maeneo ya tukio ila ulipenda kuwa wakwanza kuongelea jambo hili tukuambie kitu! Watu...
Back
Top Bottom