Habarizenu wanajamii,,,
mm naomba mnifahamishe hiyo RIM ni nini? Mana mm ninayo Blackberry 8520 haiwaki inaonesha screen nyeupo na kuload file hadi inaisha chaji,
ningeomba msaada, blackberry desktop manager ninayo, nikiikonect haioneshi kama imekua konected, nisaidieni,,