Wakuu huu mchezo ni mgumu sana kuamini ila mpaka uingie ndani ndo utaelewa ni mrahisi sana kikubwa uaminifu tu. Hata mie mwanzo sikudhani kama mtu anaweza kuniamini ila sasa ndo napata picha kumbe imani yako tu ndo itakayokuponya. Kama utaamini kudhulumiwa basi hilo linaweza kutokea. Kikubwa...
Habari zenu wakuu.
Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa.
Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi ya vitu na kuvitupia mtandaoni. Wala sikua na hela ya kulipia.
Haikupita hata saa moja nikapokea...
Nataka kufungua maeneo ya Mombasa huku nimefanya research chakula migahawa mingi chakula chao hakina ubora. Na mwisho chakula hupatika ni saa tisa mchana baada ya hapo chipsi ndo nyingi
Habari zenu wana jamvi mimi ni kijana mwenye miaka 29 nimeajiriwa katika kampuni binafsi nna mpango wa kufungua restaurant na kianzio cha mtaji wa shilingi milioni moja tatizo linakuja kwamba sina ujuzi katika mapishi ila nilisomea hotel management na nime base sana katika service kuliko jikoni...
Habari wakuu. Mimi nna mtaji wa shilingi mil 3 nataka kuanza biashara ya kununua nguo za kiume na za kike na kutafuta fremu nje kidogo ya Dar kama vile Chalinze na maeneo ya kibaha. Inaweza kunifaa biashara hii...? Wenye uzoefu na biashara hizo tafadhali naombeni msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.