Habari ndugu,
Habari ndugu, naomba unisaidie kunipa elimu na ushauri kuhusu ufugaji wa mbuzi. Awali niliwai kufuga mbuzi nilianza na mbuzi 30 wakafika Hadi 180+, Lakini waliishia kufa kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha ufugaji. Sasa nimeamua kuanza upya kwa umakini hivyo naomba unipe elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.