mkuu, sababu ni obvious, they have different caliber and ambition nd maana vyama vyote alivyo/anavyoviongoza vinaendelea kudorora, hata ubunge alionao sasa ni msaada wa ccm sasa aende nje kufanya nini safari za nje ni kuimarisha mahusiano na kubadilishana uzoefu katika uongozi na utawala kitu...
Nimetafakari sana kauli ya huyu bwana, hakuwa sirias ila alitaka wanaccm wenzie wasijemwelewa vibaya, sababu sitta anafahamu cdm ina wanachama zaidi ya milioni 3 namiongoni mwao ni wabobezi kwenye field mbalimbali, wanafaa na wanauwezo mkubwa kuiongoza nchi ikiwa watapata ridhaa ya wana wa nchi...
mkuu, wewe mbona hujamalizia pia kifungu hicho maana imesema isipokuwa kama utaungwa 2/3 ya wabunge kwahiyo si lazima miezi sita ila nakubaliana pendekezo lako la pili
magaidi wanasababu nyingi, lakini inawezekana wanataka reginal attension, pia sisis kama taifa tunaiunga mkono kazi inayofanywa na majeshi ya umoja wa africa na un kule somali vilevile kuwatisha raia wa kigeni hasa nchi za magharibi maana wachuki nazo na wamewekeza kwa uwingi nchini mwetu. Mungu...
Wakati wa mwl Nyerere watu ambao hawakuwa uasili wa tz walipewa nafasi za uongozi sababu tu walikuwa Waafrika, wakati rapsharapsha za mageuzi watu hao wakishariwa kutojihusisha na siasa za moja kwa moja kama mzee kinana. Leo hii ktk nchi hii watu wameanzisha siasa za kishenzi na zinazoongozwa...
Kauli ya Chikawe inaonyesha anawasiwasi na mkuu wake. Rais anamamlaka ya kikatiba kutokuisain na kuurudisha bungeni sasa mgogoro hapo uko wapi? Haliyopitishwa dom ni maamuzi ya NEC-ccm si matakwa wa wana wa nji hii na ana jua kuwa rais anajua hivyo. Kama rais amekusudia katiba mpya kupatikana...
wananchi wengi wanaamini rais asipewe kazi ya kuteua kwa sababu inaleta ukakasi na inaweza kuwa sababu ya hiyo aliyo ita ghasia na vurugu. kinachonishangaza ni kwanini akina nani hii wanang'ang'ania ilihali hainamanufaa kwao eti katiba inamtaka afanye ivo kama ndivo kulikuwa na haja ya kuuleta...
what! Nadhani si mwelewa wa mambo haya, deni kuwa zaidi nusu ya pato la taifa ni kiashirio kibaya maana inaweza sababisha kukolapse kwa kauchumi ketu. Kama ndani ya miaka michache deni limekua kwa kasi ya ajabu kwa mujibu wa ripoti ya cag. Nchi yetu inakoelekea km tutaendelea na trend hiimiaka...
ni vima kutafakari kilichosemwa. Kimsingi ansema vurugu ndani bunge ni matokeo ya uongo wa kiti cha spika ambacho kilishindwa kusimamia kikao kwa hivyo kupigana ilikuwa ishara ya kutetea dhidi uonevu na heshima hupatikana kwa kupigania iwe kwa ngumi au maneno
Mimi ninauhakika kunaeneo moja ambayo tutamkumbuka huyu bwana na ndio maana mataifa kama marekani wanamuunga mkono; nayo ni uhuru wa watu kumsema yeye na sirkali yake. Ila maeneo mengine sijaona la maana kama kukuza uchumi wa jamii na hali zao za maisha kama alivyotushawishi kuwa ataleta maisha...
mkuu, NGO yoyote duniani ni ya kiharakati kuwasaidia wananchi siyo serikali. Kuwawezesha wananchi kujua haki na wajibu wao, kupinga sheria na sera mbovu na kandamizi na pia kuiabia serikali iziache. Kauli ya kiongozi ni amri kwahiyo inaathiri wananchi moja kwa moja, ikumbukwe kauli ya mtu...
mkuu mbona unalalamika sana. Kwa ninavyoona chadema si chama cha kipuuzi kama ulivyodai vipo vyama duniani ambavyo vilifanya kama chadema huku vikiungwa mkono na asasi za kiraia kama labour party cha uk, ktk miaaka ya mwishoni mwa 1800 viongozi wake wengi walikuwa nakesi za uchochezi na wengine...
mkuu mbona unalalamika sana. Kwa ninavyoona chadema si chama cha kipuuzi kama ulivyodai vipo vyama duniani ambavyo vilifanya kama chadema huku vikiungwa mkono na asasi za kiraia kama labour party cha uk, ktk miaaka ya mwishoni mwa 1800 viongozi wake wengi walikuwa nakesi za uchochezi na wengine...
Ukishangiliwa siku zote jiulize kunani? Maana inawezakana wanasema huyu nae yupo au wanakutia moyo kwa sababu ya hali hali. Tukiangalia hali halisi kwa mzee lowasa aljipaka matope sana na akapakwa na pia anataa ya rais wa nchi ktk mazingira haya kuchafuka anakosa ujasiri wa kuongea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.