Recent content by akohi

  1. akohi

    Kasesela: Mke wangu aliota ndoto joka kubwa linaninyemelea na baada ya siku 2 nikatumbuliwa u-DC, Marafiki wangu wote wakanikimbia!

    Were hujui utaratibu wa Mungu na sijui kama unasoma Biblia. Hivi unajua Mtume Paul alikuwa mdhambi wa aina zote mpaka Uuaji? Lakini Mungu alimbadirisha na ndio Mtume wa kipekee katika Biblia na hata jina akabadirishwa Jaribu kufuatilia historia za watu ambao leo wanafanya kazi ya Mungu...
  2. akohi

    Kasesela: Mke wangu aliota ndoto joka kubwa linaninyemelea na baada ya siku 2 nikatumbuliwa u-DC, Marafiki wangu wote wakanikimbia!

    Jumanne hii tunafundisha kuhusu Malaika, how to live with and command Angeles Kuanzia saa tisa jioni Karibu
  3. akohi

    Kasesela: Mke wangu aliota ndoto joka kubwa linaninyemelea na baada ya siku 2 nikatumbuliwa u-DC, Marafiki wangu wote wakanikimbia!

    Kwanza hongera sana kwa mke wako. Kuota ndoto za yajayo au maono maana yake 1. Anawasiliana na Mbingu 2. Malaika wake yuko active kumpa taarifa za yanayoendelea katika ulimwengu wa Roho. Chochote unachokiona katika ulimwengu huu (Physically) maana yake kimeisha kamilika na kufanyika katika...
  4. akohi

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kazi ya Cruise Control ni ku i command Computer ya kwenye gari imentain soeed unayotaka. Mf ukiweka cruise control kwenye 40kmph maana yake Engine na mfumo wa gari utalazimika ku maintain hiyo speed bila wewe kufanya chochote zaidi ya kuongoza usukani tu. Japo ikifika kwenye mlima na...
  5. akohi

    Aina ya Mask na matumizi yake

    Sio kila mask inaweza kukusaidia kuepuka Corona Sent using Jamii Forums mobile app
  6. akohi

    Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    Hii tabia huwa sielewi, kuna headline/subject na mtoa mada kaelezea mada bado na wewe unaoelezea tena?
  7. akohi

    Natamani kujua machache juu ya ajali ya Dr. Mwigulu Nchemba

    sio damu ni coolant ilimwagika baada ya rejeta kupasuka hahahaha wa tz bwana munashangaza sana aisee. hata picha hamuelewi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. akohi

  9. akohi

    Noah inauzwa 13m

    Ya mwaka 2000 Cc 1990 SR40 engine Haina shida yoyote 0764800989
  10. akohi

    Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    13m haina udalali 0764800989
  11. akohi

    Tunatoa huduma ya Kusaga na Kukoboa Mahindi kuanzia tani 1

    Namaanisha umeme na wafanya kazi, so wewe leta mahindi na mifuko na malipo ya kukobolea na kusagia then tukabidhi kazi
  12. akohi

    Tunatoa huduma ya Kusaga na Kukoboa Mahindi kuanzia tani 1

    Kama ni kukoboa na kusaga, tunachaji 50,000/- kwa tani, kila kitu juu yangu kasoro mifuko
  13. akohi

    Tunatoa huduma ya Kusaga na Kukoboa Mahindi kuanzia tani 1

    Fafanua mkuu. Kusaga tu kwa maana ya dona au unamaana kukoboa na kusaga ili upate sembe?
  14. akohi

    Tunatoa huduma ya Kusaga na Kukoboa Mahindi kuanzia tani 1

    Wasiliana nasi, tuweze kukuhudumia. Njoo na mahindi yako, tutakukobolea na kukusagia kwa gharama nafuu. Huduma hii ni kuanzia tani 1 maana mashine zetu zina uwezo mkubwa wa kukoboa zaidi ya tani 30 kwa siku. Unaweza kuja na mifuko yako yenye ujazo tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako...
  15. akohi

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Nahitaji Noah old model 4s engine iwe au isiwe na 4wd. Offer 10m. Tuma kwanza picha kwa WhatsApp. 0764800989. Nipo Dar es salaam
Back
Top Bottom