Elichoma inaelekea hujui nini kinaendelea duniani....hujui nini mission za NATO dhidi ya libya mpaka sasa...anyway mringo kaelezea mengi kwa kifupi tu....Gaddafi aliwapa wananchi wake kile kilichopatikana kutokana na rasilimali za nchi muda wote...katika maisha yake ya uongozi kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.