JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa?
Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati
Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi
Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe.
Nataka...
Itoshe kusema mleta Mada wew ni mjinga, kwaiyo ulitaka Walimu wawachekee tu hao wanafunzi wajinga?
Kwani wew unajikuta ni nan adi utake kuita wanafunzi wote mstarini? Natamani nikutane na mjinga kama wew
Milo mitatu kwa siku ninapata
Vitafunwa kati ya mlo na mlo ninapata ipasavyo
Mawazo nmepunguza hadi yameisha so sina mawazo
Kwenye mpenzi apo sasa ndo tufanye Ajenda yetu mimi na wewe. Naomba nije PM tuongee vizuri lakini kwa sasa mpenzi sina ila naona kabisa wewe utanifaa
Nlikua na Kilo 80 wakati naumwa nikawa na Kilo 78, lakin sina unene n nmepungua kdogo so nataka nijenge Mwili wangu urudi normal yaan nisiwe mwembamba wala nisiwe mnene, saiz nmekua mwembamba kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.